ulitaka amuhasi ili asitoke nje ya ndoa? au atumie ushirikina kama nyie wabongo mnavyofanya? kampa choice kama ataona inampendeza kufanya anayoyafanya hiyo ni juu yake sio kosa la mwanamke yeye kampenda jamaa inabidi ambebee na madhaifu yake, wala sio kwamba kamwambia endelea kuzaa watoto nje unawaleta nitakuleleea. katumia falsafa ya hali ya juu. mimi sizai tena yeye akitaka atafute mtu wa kuzaa naye hata waoto 20 kwa kauli hiyo siku nikisikia Diamond kazaa mtoto mwingine nje nitajua moja kati ya haya ni sahihi. 1. diamond anataka kumfukuza zali ila anamtafutia sababu. 2. Mbwa ni mbwa hata avae suluali na viatu bado atakuwa mbwa tu.