Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

ulitaka amuhasi ili asitoke nje ya ndoa? au atumie ushirikina kama nyie wabongo mnavyofanya? kampa choice kama ataona inampendeza kufanya anayoyafanya hiyo ni juu yake sio kosa la mwanamke yeye kampenda jamaa inabidi ambebee na madhaifu yake, wala sio kwamba kamwambia endelea kuzaa watoto nje unawaleta nitakuleleea. katumia falsafa ya hali ya juu. mimi sizai tena yeye akitaka atafute mtu wa kuzaa naye hata waoto 20 kwa kauli hiyo siku nikisikia Diamond kazaa mtoto mwingine nje nitajua moja kati ya haya ni sahihi. 1. diamond anataka kumfukuza zali ila anamtafutia sababu. 2. Mbwa ni mbwa hata avae suluali na viatu bado atakuwa mbwa tu.
Yet he can legally marry and have Kids..
 
Wabongo shwain wallah huyu Zari alipendwa mpaka wengine walitamani bora wasingekua waTZ, eti Leo anaitwa bibi duh!
 
Mimi nakusalimia

Zari alijua akizaa diamond hatosaliti ameona hakuna jipya bora asitishe maana anaukimbilia uzee kwa speed ta hatari
Nakusalimia pia mama, heri ya sikukuu.

Hajui hulka ya binadamu ni kutamani kile asichokuwa nacho.
 
Akili kubwa hii.

Msikie hapa..

Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.

My Take...

Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana. Na sioni Mobeto kama anakaribia hata moja ya tatu.

Diamond karuhusiwa aendelee 'kuwatembezea' kama alivyomshauri mwanae akue aje afanye hivyo.

Zari .. Strong woman.
 
Tunapoteza muda kuwaza maisha ya watu. Shame on you.
 
Huyu Dada yupo vzr,ukumbuke kwamba kama kuna mwanamume ana mwanamke mmoja huyo bado anatafuta
 
Msikie hapa..

Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.

My Take...

Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana. Na sioni Mobeto kama anakaribia hata moja ya tatu.

Diamond karuhusiwa aendelee 'kuwatembezea' kama alivyomshauri mwanae akue aje afanye hivyo.

Zari .. Strong woman.

Maneno mengi alozungumza hayo kaya quote kutoka kwa Kimora miaka iyoow[emoji23]
 
Kwlei Tanzania watu wana ubongo mdogo sana. Sijui ni chakula gani hicho kinaharibu watu mibichwa.

Mada hii watu wanachokiona ni Nasibu kuruhusiwa kuzaa hata watoto 20 akitaka. Kwa kukosa akili mjitu inadhani kwelri karuhusiwa kwa kuwa haina haa uwezo wa kusoma lugha ya picha.

Mingineinasema eti kuwa kumruhusu Nasibu kuzaa zaa kama kuku wa kienyeji, basi inaquestions kama huo ndio ustrong woman!.

Hivi kweli mmeshindwa kumwelewa Zarina anachomaanisha hapa?

Alichokisema ni kwamba yuko tayari kumpokea mtoto wa Hamisa kama baba yake akisema kwa kuw ani mtoto hana hatia.

MENGINE JIONGEZENI.

Back
Top Bottom