Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Yet he can legally marry and have Kids..
 
Wabongo shwain wallah huyu Zari alipendwa mpaka wengine walitamani bora wasingekua waTZ, eti Leo anaitwa bibi duh!
 
Mimi nakusalimia

Zari alijua akizaa diamond hatosaliti ameona hakuna jipya bora asitishe maana anaukimbilia uzee kwa speed ta hatari
Nakusalimia pia mama, heri ya sikukuu.

Hajui hulka ya binadamu ni kutamani kile asichokuwa nacho.
 
Akili kubwa hii.

 


Tunapoteza muda kuwaza maisha ya watu. Shame on you.
 
Huyu Dada yupo vzr,ukumbuke kwamba kama kuna mwanamume ana mwanamke mmoja huyo bado anatafuta
 

Maneno mengi alozungumza hayo kaya quote kutoka kwa Kimora miaka iyoow[emoji23]
 
Kwlei Tanzania watu wana ubongo mdogo sana. Sijui ni chakula gani hicho kinaharibu watu mibichwa.

Mada hii watu wanachokiona ni Nasibu kuruhusiwa kuzaa hata watoto 20 akitaka. Kwa kukosa akili mjitu inadhani kwelri karuhusiwa kwa kuwa haina haa uwezo wa kusoma lugha ya picha.

Mingineinasema eti kuwa kumruhusu Nasibu kuzaa zaa kama kuku wa kienyeji, basi inaquestions kama huo ndio ustrong woman!.

Hivi kweli mmeshindwa kumwelewa Zarina anachomaanisha hapa?

Alichokisema ni kwamba yuko tayari kumpokea mtoto wa Hamisa kama baba yake akisema kwa kuw ani mtoto hana hatia.

MENGINE JIONGEZENI.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…