Walikua hawajaoana bado alivomzalisha mobetoDiamond yeye kamkuta na wale watoto kakubaliana na hali ni tofauti na kuzaa nje huku kaoa tayari
Hawajaoana vipi ilihali wanaishi wote kama mume na mke!? Ile ni ndoa tayariWalikua hawajaoana bado alivomzalisha mobeto
Sasa kumbe umeelewa akili iliyotumika hapo ...Kwlei Tanzania watu wana ubongo mdogo sana. Sijui ni chakula gani hicho kinaharibu watu mibichwa.
Mada hii watu wanachokiona ni Nasibu kuruhusiwa kuzaa hata watoto 20 akitaka. Kwa kukosa akili mjitu inadhani kwelri karuhusiwa kwa kuwa haina haa uwezo wa kusoma lugha ya picha.
Mingineinasema eti kuwa kumruhusu Nasibu kuzaa zaa kama kuku wa kienyeji, basi inaquestions kama huo ndio ustrong woman!.
Hivi kweli mmeshindwa kumwelewa Zarina anachomaanisha hapa?
Alichokisema ni kwamba yuko tayari kumpokea mtoto wa Hamisa kama baba yake akisema kwa kuw ani mtoto hana hatia.
MENGINE JIONGEZENI.
Zari ndo nani?
Akili zenu ndo hizi...mkianza mapovu ni mapovu tu...
Wala hamshurikishi akili.
Kwahiyo wewe ulitaka kusikia hapo Zari akisema..." Diamond akome na asije mleta yule mtoto kwangu".."na akija fanya ujinga huo mimi na yeye basi"...
No wonder thats what most poor minds wanted to hear...you included. Na mngemuanzishia matusi ya kufa mtu.
Muacheni Zari awafundishe maisha...most jinsi ya kuongea ktk media.
Umeamini alivyosema "hana tatizo na mtoto" sio kweli, then alivyosema "Mondi azae tu nje" ndio alimaanisha, hili ndilo tatizo letu wabongo, we choose what to believe na kutengeneza imaginatins zetu wenyewe na ku create conclusion. Shida hii.Kweli hiyo ni biashara, yaani yuko relaxed kabisa!! Hivi anaempenda bwanake anamruhusu azae tu!!
Hainiingii akilini kwakweli, unless kuna jambo nyuma ya pazia.
Alafu jamani mtu kusema hana tatizo na mtoto haimaanishi anaweza kumtreat vizuri mtoto huyo, hayo ni maneno tu ya kuongea kwenye media, ila kwa hasira ile aliyonayo juu ya mama wa mtoto, mama wa mtoto asijemruhusu kabisaa kuishi na mwanae. Bora tu amlee mwenyewe.
Diamond $4.5millions(billion tsh.9+)Lkn nan mwenye hela nying zari au mondi
Aah wapi,eti uende kukitembeza huko uniletee mi watt nilee nivumilie kisa una hela?Kigezo kikuu cha mwanaume kuvumilika kwa matendo yake mabaya na mkewe..ni kuwa na fedha nyingi....na umaarufu wa kutukuka..
[emoji23] [emoji23]Boss lady, kiboko ya mademu wasiojitambua hapa Tanzania.
Nyie hamjamsoma huyu,unafikiri hapo kwny media ataharibu?! No ,mjanja hawezi ongea vby kuhusu mtt nkKweli kabisa, ila cha ajabu kuna watu wanamuona wa maana kwa hilo!!!
Dada angu kazaa ana 42Keshagusa monopouse aache mbwembwe
Huyu dada ndomana hachekagi kumbeeee