Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Si alijifanya anajua sana kuzaa kwa sababu aliona wema hawezi kupata mtoto akazaa haraka haraka ili amkomeshe sasa kapata kiazi mwenzie wanaoishi kwa child support kanyoosha mikono azae tu washindane mpaka tuone mwisho wake mfyuu eti kachoka bibi ana vituko huyu
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Akiachika unadhani ataolewa na nani tena atakaye muelewa...


Cc: mahondaw
 
Kwlei Tanzania watu wana ubongo mdogo sana. Sijui ni chakula gani hicho kinaharibu watu mibichwa.

Mada hii watu wanachokiona ni Nasibu kuruhusiwa kuzaa hata watoto 20 akitaka. Kwa kukosa akili mjitu inadhani kwelri karuhusiwa kwa kuwa haina haa uwezo wa kusoma lugha ya picha.

Mingineinasema eti kuwa kumruhusu Nasibu kuzaa zaa kama kuku wa kienyeji, basi inaquestions kama huo ndio ustrong woman!.

Hivi kweli mmeshindwa kumwelewa Zarina anachomaanisha hapa?

Alichokisema ni kwamba yuko tayari kumpokea mtoto wa Hamisa kama baba yake akisema kwa kuw ani mtoto hana hatia.

MENGINE JIONGEZENI.
Sasa kumbe umeelewa akili iliyotumika hapo ...

Kwahiyo kumbe tuko pamoja.

Tulishang'amua hilo muda mrefu.
 
Zari ndo nani?
IMG_20171226_135850_421.jpg

Huyo bimama hapo..
 
I like Zari, anajitambua si mademu hawa wengine anaozaa nao Diamond ama kutoka nao. Diamond kama unasikia, demu shupavu unayemuhitaji maishani mwako ni huyu, hao wengine watakulostisha tu, unataka kupiga zaidi hatua maishani mwako kuwa na huyu Zari.
 
Akili zenu ndo hizi...mkianza mapovu ni mapovu tu...

Wala hamshurikishi akili.

Kwahiyo wewe ulitaka kusikia hapo Zari akisema..." Diamond akome na asije mleta yule mtoto kwangu".."na akija fanya ujinga huo mimi na yeye basi"...

No wonder thats what most poor minds wanted to hear...you included. Na mngemuanzishia matusi ya kufa mtu.

Muacheni Zari awafundishe maisha...most jinsi ya kuongea ktk media.

Mkuu unajua hata kama ana makando yake lakini kauli alotoa ya makosa ya wazazi yasimtie hatiani mtoto ni kauli ya kuungwa mkono kuna lakujifunza hapa kuwa mpenzi wako akiwa anauza gongo akija polisi huwezi sema gongo limefichwa mvunguni unatakiwa usimame mlangoni useme hamna gongo na hili ni tatizo kubwa kwa kinadada na kinakaka.
Tusimshambulie mtu ila hoja iliyopo jamvini
 
Kweli hiyo ni biashara, yaani yuko relaxed kabisa!! Hivi anaempenda bwanake anamruhusu azae tu!!
Hainiingii akilini kwakweli, unless kuna jambo nyuma ya pazia.

Alafu jamani mtu kusema hana tatizo na mtoto haimaanishi anaweza kumtreat vizuri mtoto huyo, hayo ni maneno tu ya kuongea kwenye media, ila kwa hasira ile aliyonayo juu ya mama wa mtoto, mama wa mtoto asijemruhusu kabisaa kuishi na mwanae. Bora tu amlee mwenyewe.
Umeamini alivyosema "hana tatizo na mtoto" sio kweli, then alivyosema "Mondi azae tu nje" ndio alimaanisha, hili ndilo tatizo letu wabongo, we choose what to believe na kutengeneza imaginatins zetu wenyewe na ku create conclusion. Shida hii.
 
Kigezo kikuu cha mwanaume kuvumilika kwa matendo yake mabaya na mkewe..ni kuwa na fedha nyingi....na umaarufu wa kutukuka..
Aah wapi,eti uende kukitembeza huko uniletee mi watt nilee nivumilie kisa una hela?
Aisee km hela inatafutwa tu ,ufe kisa hela utakua ujinga wa kiwango cha juu
 
Akwende zake...eti mtoto wa mistake???yeye awe msimamiz Mkubwa wa mwanaume wake yaan aolewe na cyo hawara...kwan yy naye hakuwa mke ni mzazi mwenziwe tu...nachelea kukubali kuwa ni strong heeel noooh...strong women hayuko hvyo huyu mama ana vijembe kama Toto Dogo...ananiboa na kikubwa kinachofanya apendwe ni hzo pesa zake vinginevyo angeshangazwa na huyo mwanaume wake asiye na utulivu chini...angetakiwa awe cool,wafunge ndoa then awe na conditions zake hope hicho kiumbe kingelikuwa kiangalifu...otherwise naye pumbavu kama wengine.
 
Kweli kabisa, ila cha ajabu kuna watu wanamuona wa maana kwa hilo!!!
Nyie hamjamsoma huyu,unafikiri hapo kwny media ataharibu?! No ,mjanja hawezi ongea vby kuhusu mtt nk
Nyuma ya pazia huyu hamaanishi eti domo azae tu akitaka,thubutuuu!
 
Back
Top Bottom