Oooh safi
Exactly
Hata kiswahili Mgogoro (Tafadhali inaitwa)
ExactlyTatizo mfumo utakuta tumeoana hatuna kitu najibana kama mwanamke napigana huku na kule tutafute mali,ila tukifanikiwa anayepewa kipaumbele mwanaume,siku zote waafrika mafanikio ya mwanamke recognized when she is single,ukiolewa mafanikio ni ya mwanaume.
Na hii ndo inapopelekea wadada wamama waone bora kuwa na mwenye pesa kuliko kutafuta wote.
Zari yeye alishakuwa na mali walizotafuta na ivan,hawezi kurudia tena kuhangaika na wanaume wasiojiweza kiuchumi,kama kushinda njaa alishashinda kama dagaa keshakula sasa hivi ni kudate wealth man tu,hata siku moja hawezi kuwa na maskini
Upo binamuuExactly
Hahhahaha Hahahha...... Si kwa maneno Haya.. But honestly speaking huyu mdada kiboko.....let's me give her credit....Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa
Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa
Nipo aisee.. Za weweUpo binamuu
Salama mzima lakini!!!Nipo aisee.. Za wewe
I'm goodSalama mzima lakini!!!
Upitege jamani kaahh!!mpk warumi arudi ndo mnakuja!!I'm good
Mimi sijaenda hata darasa moja, hivyo kiingilishi na mimi sawa na warumi na ....Sawa. Sasa naomba tafsiri .
Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodi
Eti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"Kiingereza kinanipiga chenga, naomba tafsiri ya kiswahili tafadhari.
Mimba ikichoropoka na wewe urithi hola.Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
imeeleweka vizuri sana. Not STDsEti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"
# Nawakilisha