mkuu "" Jana niliuona huu Uzi ikanibidi nitoke mbio ...haaaha...Nanukuu "kiboko ya masistaduu Africa mashariki "
hearly mdau sabuni gani ina povu jingi vileeee ?? tehteh Mama Sabrina gudi moooorning!!!! ✋
Baada ya kutembea na wanaume tofauti tofauti na kujiaibisha mtandaoniZari yupo juu
Sawa mkwee nisalimie handsome jamaniiKuolewa na don napo ni mafanikio mkwe, haulijui hilo? Nafikiri anatahadharisha kwamba, kama unakua na mtu, kuwa nae kwa sababu unampenda ila sio kwa kutarajia utafanikiwa kama yeye alivyo.
Na kama nimeelewa vizuri, kiingereza nacho sio mchezo, hajamaanisha kuolewa na mtu, la hasha amesisitiza kutembea na mtu. Usijekujirahisi ukaliwa na mtu mwenye mafanikio ukifikiri na wewe utafanikiwa.
Msalimie Sabrina [emoji112] Mrs. G.Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Halafu mama Sabrina inonekana umeguswa vilivyo na zari maana si kwa povu hili it seem bila kulala chali no gain[emoji12] [emoji12]Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodi
Kwahiyo upo kwenye plan ya kumrestisha mumeo in peace ili urithi?Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
Ahhahahaha wewee umenigaya mwanangu humpatiMsalimie Sabrina [emoji112] Mrs. G.
Mwambie nitasubiri mpaka amalize masomo.
Kwani zari alimrestisha ivanKwahiyo upo kwenye plan ya kumrestisha mumeo in peace ili urithi?
Natumia duka langu vizuri si kuzaliwa nile kwa jasho kwa mieHalafu mama Sabrina inonekana umeguswa vilivyo na zari maana si kwa povu hili it seem bila kulala chali no gain[emoji12] [emoji12]
Lugha ya walala chali kwaajili ya kujipatia liziki utazijua tuKwani zari alimrestisha ivan
Unauliza maswali utafikiri umekatwa kichwa
Nawe lala kifudifudi upateLugha ya walala chali kwaajili ya kujipatia liziki utazijua tu
Acha povu mama kuwa mpol [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie