Zari: Success is not sexually transmitted !

Zari: Success is not sexually transmitted !

Kuolewa na don napo ni mafanikio mkwe, haulijui hilo? Nafikiri anatahadharisha kwamba, kama unakua na mtu, kuwa nae kwa sababu unampenda ila sio kwa kutarajia utafanikiwa kama yeye alivyo.

Na kama nimeelewa vizuri, kiingereza nacho sio mchezo, hajamaanisha kuolewa na mtu, la hasha amesisitiza kutembea na mtu. Usijekujirahisi ukaliwa na mtu mwenye mafanikio ukifikiri na wewe utafanikiwa.
Sawa mkwee nisalimie handsome jamanii
 
31229377_193973531223430_7882782099457966080_n.jpg
 
Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
Kwahiyo upo kwenye plan ya kumrestisha mumeo in peace ili urithi?
 
tihtihtih kama nasikia harufu ya hapa vile [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

cc Smart911
 
Halafu mama Sabrina inonekana umeguswa vilivyo na zari maana si kwa povu hili it seem bila kulala chali no gain[emoji12] [emoji12]
Natumia duka langu vizuri si kuzaliwa nile kwa jasho kwa mie
 
Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
Acha povu mama kuwa mpol [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
mijanaume ya kibongo bwana fanyeni kazi,tapelini,ibeni ikiwezekana hata mjiuze ili mkifa muachie wake zenu maurithi ya maana kama hayo nao wakae wananyea watu sio kutulazimisha tuzitafute kwa jasho huku mnamsifia Zari alozirithi,wakati Ivan yupo hai mbona alikuwa hoi tusio yy alokuwa anadhalilishwa na rafiki za Ivan kwa kuombaomba msituchoshe.
 
Yah ndiyo maana Ivan alishindwa kumuambukiza mafanikio yeye aendelee kula mirathi kwa raha zake.
 
Back
Top Bottom