Nanukuu "kiboko ya masistaduu Africa mashariki " tih
hearly mdau sabuni gani ina povu jingi vileeee ?? tehteh Mama Sabrina gudi moooorning!!!! [emoji113]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lowlife be likeView attachment 774587
Eti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"
# Nawakilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lowlife be likeView attachment 774587
hakuna kitu kama hicho...Ivan alishapata hela South kwa deal zake za fake sangoma ila sio kihivyoo na Zari alikuwa musician hata Amber Lulu anamzidi ndio jamaa akabebaUr wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.
Mbona hata kiswahili kinakupinga chenga pia?!Kiingereza kinanipiga chenga, naomba tafsiri ya kiswahili tafadhari.
Ohooo!!!Alikuwa mke wa mganga wa kienyeji, aliponda sana mavumba na kuwasha mkaa wa kilinge. Ametoka mbali bibi wa watu.
No pain no gain,tambua hilo.Alikuwa mke wa mganga wa kienyeji, aliponda sana mavumba na kuwasha mkaa wa kilinge. Ametoka mbali bibi wa watu.
[emoji106]Wengi wanaomchukia huyu mama ni wivu tu unawasumbua. Huyu Mama watano ni akili kubwa.
Ohoooo!!!Eti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"
# Nawakilisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimba ikichoropoka na wewe urithi hola.
Safi mkuu,hii ndio tafsiri sahihi.Eti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"
# Nawakilisha
Mbona hata kiswahili kinakupinga chenga pia?!
hakuna kitu kama hicho...Ivan alishapata hela South kwa deal zake za fake sangoma ila sio kihivyoo na Zari alikuwa musician hata Amber Lulu anamzidi ndio jamaa akabeba
Hizi siku mbili social networks zote East Africa- Zari ndio ana trend,hana kabisa mpinzani-classes above the chasing packHuyu dada namsifu sana
Ur wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.
Kumbe Mama Sabrina unavijielement vya upuuzi!Bila Ivan ungekuwa huna kituuu hata mi Za G nazimiliki basi na boss lady