Leo Bashite umenifurahisha!Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa
Kila siku kumuongelea diamond kwenye media anahitaji huruma,daimond wala hana habari naeKwani mondi alimsexually transmit yeye nini??! au mimi ndio sielewi?!
Success yake si njia hiyo hiyo anayopitia mwenzie sasa mbona anaona yeye ndio alistahili hiyo success thru sexually transmitted nanii D oops sorry.
The hate is too much... Watoto wapi wana kwashiokor.... This level of hatred is not good for your health my dearKila siku kumuongelea diamond kwenye media anahitaji huruma,daimond wala hana habari nae
Kama alimuacha ya nini kulalamika[emoji23][emoji23][emoji23] boss lady watoto wa ndugu zake wana kwashiakoo
Hapo Kenya kalala na Otieno akija kwenye media bla blaa fake kabisa
Hahahaah tatiana upoooThe hate is too much... Watoto wapi wana kwashiokor.... This level of hatred is not good for your health my dear
The hate is too much... Watoto wapi wana kwashiokor.... This level of hatred is not good for your health my dear
Mtu akikuzidi kila kitu lazima umchukue[emoji23][emoji23] pole chuki ni ugonjwa.Kila siku kumuongelea diamond kwenye media anahitaji huruma,daimond wala hana habari nae
Kama alimuacha ya nini kulalamika[emoji23][emoji23][emoji23] boss lady watoto wa ndugu zake wana kwashiakoo
Hapo Kenya kalala na Otieno akija kwenye media bla blaa fake kabisa
[emoji119]One woman driving three countries or even more insane. Zari Zari Zari Zari Zari everywhere you go. On social media, newspapers and all media houses in East Africa and beyond. My Queen you are too too much. Just because she is beautiful,strong,rich and intelligent and some people cant handle it haha. She is the pain and illness in every hater's heartView attachment 776024
Hata nyie kumchukia hamisa ni ugonjwa halaf msinilazimishe niwe na fikira kama zenuMtu akikuzidi kila kitu lazima umchukue[emoji23][emoji23] pole chuki ni ugonjwa.
[emoji4][emoji4]The hate is too much... Watoto wapi wana kwashiokor.... This level of hatred is not good for your health my dear
Wapi umeona nikimchukia Hamisa mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata nyie kumchukia hamisa ni ugonjwa halaf msinilazimishe niwe na fikira kama zenu
Poleni
Nipo mpenzi.. Hapana mi simchukii Hamusa Kwa Kweli...Hahahaah tatiana upooo
Nyie kumchukia hamisa ni afya kumbe
Halafu watoto wa Zara hawana kwashiokor it's their bodies structures.. Wana small body frameYaan namhurumia huyu member mwenzetu daah alisema hamfatilii zari ila see her confession,kafahamu hadi alipolala zari kenya,kafatilia hadi maisha ya zara woyooooo follower ndan ya gamba la hater
Ila tumshukuru anakimbiza uzi huu,kila time zari zari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You can say it again and again.. Tufanye kazi tu.. Let's be inspired by people ambao wametuzidiI repeat,Success isn't sexually transmitted!!! mnalo akina slay queen