MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Leo Bashite umenifurahisha!Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa