Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

ha ha ha alikua anatafuta kick tu kwa shigongo aolewe wapi akajambe ha ha ha atawaweza wale wahuni alishindwa masogange itakua yeye pyeee

Zari hanaga cheap beef, yupo smart n classic, hanaga mda kabisa na upuuuzi, mama ubaya kwani hujapata ubuyu wake na mh? Mmh ngoja nifunge domo mwenzangu yasije kunikuta kama ya member mwenzetu humu, ila mmh hapana kuna kitu kimenikaa kooni sina ata raha kwa kweli
 
Hahahaaa uwiiii warumi umenichekesha hadi basi.Hebu tupe huo ubuyu bwana usiogope yule member mwenzetu aliyekatwa mapanga alivamiwa tu hilo halihusiani na huku maana wasingemuibia.
Halafu yule ni mtu wa siasani sio huku kwetu kwenye maubuyuz.
 
Last edited by a moderator:
Binaadam wengine hawana kazi kweli.. sasa kama alidokoa pesa kwenye account ya wanae si wa kwake? Nashangaaa imekuwa big issue kuchukua pesa kwenye account ya wanae sioni tatizo liko wapi... miye nakula sana pesa ya mwanangu... si ndo mama yake ale nani sasa??
 
Wema na mheshimiwa tena?????? Nae analotembeza kapu lake!
 

nigee maubuyu hayo sahv muheshmiwa nani huyo anapiga mbizi pale? kwakweli zari yupo smart sana
 
warumi utaniua kwa presha mwaga ubuyu miss michirizi 2006 kampata mheshimiwa??? am sory to say this.. hivi bado ana radha??? wanaume siwawezi
 
Last edited by a moderator:
warumi utaniua kwa presha mwaga ubuyu miss michirizi 2006 kampata mheshimiwa??? am sory to say this.. hivi bado ana radha??? wanaume siwawezi

Mjini raha binamu, shule imenishinda hadi umbea nao unishinde?
 
Last edited by a moderator:

MAneno ya wakosaji tu, shemej zari leo kesho anatuletea half cast la nguvu
 
Hahahaaa uwiiii warumi umenichekesha hadi basi.Hebu tupe huo ubuyu bwana usiogope yule member mwenzetu aliyekatwa mapanga alivamiwa tu hilo halihusiani na huku maana wasingemuibia.
Halafu yule ni mtu wa siasani sio huku kwetu kwenye maubuyuz.

Loh binamu utaniponza mwenzio ujue? Si unanijua binamu yako domo langu lisivyokuwa na break? Apa nimetengwa na ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya umbea, maana nshaharibu ndoa za watu kama nne kwa ajili ya umbea, nionee huruma binamu maana mie domo langu nalijua mwenyew
 
Last edited by a moderator:

hapo ndo naposhanga na mimi
 
Chaggabarbie kabadilisha avatar yake saiv anajiita mukeyamganda kafuta ile post ya michambo.....ila hii movie badae diamond ataloose na kuangukia pua Zari na Ivan wala hawajaachana.

Kama unafatilia account ya Ivan utaona kila anachopost Ivan Zari anacomment na kueka vile vikatuni vya kopa aka love na Ivan nae anareply back kushow love nae anacomment kwenye account ya Zari kwa kueka love ivo huu ni mchezo tu wala msitekwe na hawawatu

Ila kaeni mkijua kua hii game Diamond atafeli very soon
 
warumi utaniua kwa presha mwaga ubuyu miss michirizi 2006 kampata mheshimiwa??? am sory to say this.. hivi bado ana radha??? wanaume siwawezi

Kufa hufi binamu ila cha moto utakiona, ebu jipooze kidogo na fragile upunguze huo uharo, ntarudi si mda
 
Last edited by a moderator:
Natamani hyo account yake anipe mimi niwe namsimamia show maana boss wetu yule uzungu mwingi kuchambana hawezi, atukabidhi show tumfuraishe huyo chaga bibi mwenye mwili kama maiti ya nguruwe, nfyuuuuu

chaggabibi hahaha basi anajiona classic wakati hana afanyalo uko US zaidi ya kuuza K tu
Ivan tangu walipomuwish kwenye birthday yake na kumtumia madolali basi anajiona classic wakati level ya Zari haiwezi
 
Hahahaaa, leo unanichekesha hadi kichwa kinaniuma ujue?
Haya nausubiri huo ubuyu wa moto ila usichelewe basi binamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…