joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Jamani kila mtu ana jinsi ya kuomboleza,kulia ama kutokulia haimaanishi kuwa hujaumia ama ndo umeumia sana.Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari moja
Ila zari kiboko jana uganda kalia eti kisa kajaza,lakim msiba wa mama yake hakulia heko
Maneno ya mange.
Hamna alieona full services za msiba wa ivan au mama yake to judge that she never cried.
Acheni ku justify kuwa hamisa yuko sahihi. Hamisa anajishtukia kila kitu meanwhile pretending hagombani. Wote hawana akili japo zari ana ahueni kuliko huyo hamisa.
Mwe mwe jamani msimfanyie hivyo jamani kha [emoji47] [emoji47] [emoji47]View attachment 657013zishukuliwe make up jamani zinasitiri sana ,na huo mtindo wa nywele wa mwaka 47 aiiii cc Numbisa espy
Hayo maswala yao ya kuchambana si shangai ndio hulka ya wanawake na uke wenza ,mimi namuangalia mtoto, hivi mtoto ananyonya kweli manake mama full kuzurula, Mara Kenya, Nigeria sasa hivi Uganda, alafu kafungua kesi ya kutaka matunzo ya mtoto, wakati yeye mwenyewe hampi matunzo ya muhimu mwanawe, kwa ajili ya kujenga kinga muhimu kwa mtoto au ananyonyesha watu wazima na midefu yao.Kizazi cha sasa cha wanawake hawajielewi, hapo utakuta anaogopa maziwa yatadondoka, haangalii kinga ya mtoto namuonea sana huruma mwanaye.
Ulivyoitaja waoo kihuzuni kweli
Ila mbona bi tukinao kawa mswahili hivi?vijembe vyote hivi kisa misa?jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka uthibitisho acha maneno weka hizo empire alizojijengea kabla ya ivan
Cc:wema sepetuTell them maana Wabongo wamezoea maigizo hadi msibani ati mtu alie weee kwa makelele na kujitupa tupa chini. Msiba wote sikuona alielia kwa makelele zari ana ndugu zake nao walikua strong kama yeye. Waganda hawanaga maigizo msibani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaambiwa anamuiga zari ati rumours says zari hanyonyeshagi watoto wake hivyo ngoma droo maana zari ndo role model wa hamisa
Na pia anamkomoa dai ili mtoto akiumwa lawama ashushiwe dai kwa kutotoa matunzo
Cc:wema sepetu
Cc:irene uwoya popote walipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko insta mambo ni hiviii,kumbe siku ya tuzo alizopata daimond zile tatu kule SA,alimuacha bitukinao akaenda lala na hamisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli bi tununu hanyonyeshi watoto kisa kumkomoa ndomo hapo kabugi yena vibaya sana.
Ila hii movie yao sijui itaishia wapi
Ila misa naye anaugua ugonjwa wa kujishtukia mana sijaona mahala zari kamtaja kama kuna watu wanamshauri misa wamshauri vizuri,kukaa kimya nalo ni jibu sema wabongo tunapenda sana ugomvi na dramaNdio maana namtetea misa ,zari mchokozi