Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
Hayo maswala yao ya kuchambana si shangai ndio hulka ya wanawake na uke wenza ,mimi namuangalia mtoto, hivi mtoto ananyonya kweli manake mama full kuzurula, Mara Kenya, Nigeria sasa hivi Uganda, alafu kafungua kesi ya kutaka matunzo ya mtoto, wakati yeye mwenyewe hampi matunzo ya muhimu mwanawe, kwa ajili ya kujenga kinga muhimu kwa mtoto au ananyonyesha watu wazima na midefu yao.Kizazi cha sasa cha wanawake hawajielewi, hapo utakuta anaogopa maziwa yatadondoka, haangalii kinga ya mtoto namuonea sana huruma mwanaye.
 
Hahahaha dina bana tena mie ntafurahia hamisa akizaa tena na dai. Mweee mwanamke mjinga anajikomoa mwenyewe hapo tu mtoto mmoja kakimbilia mahakamani. Huyo wa pili sijui atakimbilia wapi khe khe kheee.
 
Tell them maana Wabongo wamezoea maigizo hadi msibani ati mtu alie weee kwa makelele na kujitupa tupa chini. Msiba wote sikuona alielia kwa makelele zari ana ndugu zake nao walikua strong kama yeye. Waganda hawanaga maigizo msibani.
Maneno ya mange.
Hamna alieona full services za msiba wa ivan au mama yake to judge that she never cried.
Acheni ku justify kuwa hamisa yuko sahihi. Hamisa anajishtukia kila kitu meanwhile pretending hagombani. Wote hawana akili japo zari ana ahueni kuliko huyo hamisa.
 
Unaambiwa anamuiga zari ati rumours says zari hanyonyeshagi watoto wake hivyo ngoma droo maana zari ndo role model wa hamisa

Na pia anamkomoa dai ili mtoto akiumwa lawama ashushiwe dai kwa kutotoa matunzo
Hayo maswala yao ya kuchambana si shangai ndio hulka ya wanawake na uke wenza ,mimi namuangalia mtoto, hivi mtoto ananyonya kweli manake mama full kuzurula, Mara Kenya, Nigeria sasa hivi Uganda, alafu kafungua kesi ya kutaka matunzo ya mtoto, wakati yeye mwenyewe hampi matunzo ya muhimu mwanawe, kwa ajili ya kujenga kinga muhimu kwa mtoto au ananyonyesha watu wazima na midefu yao.Kizazi cha sasa cha wanawake hawajielewi, hapo utakuta anaogopa maziwa yatadondoka, haangalii kinga ya mtoto namuonea sana huruma mwanaye.
 
Ka mbu yake kibao pyaaap kwisha kazi watu wanaweka maneno wakiiingiza mihela kwa benk ila ka tununu kanaropoka kakiingiza zero balance hata kwa emupesa aiseeee life is not fair ati olluuuu
Ila mbona bi tukinao kawa mswahili hivi?vijembe vyote hivi kisa misa?jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tell them maana Wabongo wamezoea maigizo hadi msibani ati mtu alie weee kwa makelele na kujitupa tupa chini. Msiba wote sikuona alielia kwa makelele zari ana ndugu zake nao walikua strong kama yeye. Waganda hawanaga maigizo msibani.
Cc:wema sepetu
Cc:irene uwoya popote walipo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaambiwa anamuiga zari ati rumours says zari hanyonyeshagi watoto wake hivyo ngoma droo maana zari ndo role model wa hamisa

Na pia anamkomoa dai ili mtoto akiumwa lawama ashushiwe dai kwa kutotoa matunzo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli bi tununu hanyonyeshi watoto kisa kumkomoa ndomo hapo kabugi yena vibaya sana.
Ila hii movie yao sijui itaishia wapi
 
giphy.gif

Mambo ni hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli bi tununu hanyonyeshi watoto kisa kumkomoa ndomo hapo kabugi yena vibaya sana.
Ila hii movie yao sijui itaishia wapi
Huko insta mambo ni hiviii,kumbe siku ya tuzo alizopata daimond zile tatu kule SA,alimuacha bitukinao akaenda lala na hamisa
 
Ndio maana namtetea misa ,zari mchokozi
Ila misa naye anaugua ugonjwa wa kujishtukia mana sijaona mahala zari kamtaja kama kuna watu wanamshauri misa wamshauri vizuri,kukaa kimya nalo ni jibu sema wabongo tunapenda sana ugomvi na drama
 
Wanaoumia hamisa kwenda Uganda kwenye party ya adui wa shareholder wake wanye wajipake wavimbe wapasuke

Hata kama ingekuwa bure adui wa adui yako ni rafiki yako kwamba asiende ili siku moja zari ampende hamisa au ndo wawe mashosti tangu lini wake wenza wakaivana,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom