[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli bi tununu hanyonyeshi watoto kisa kumkomoa ndomo hapo kabugi yena vibaya sana.
Ila hii movie yao sijui itaishia wapi
Huyo zari hajamfikia joketi Kwa akili hata kidogo ni vile watanzania hatuthamini vyakwetu tu
[emoji23][emoji23][emoji23]nakura bata msibani you knowUmemsahau aunt ezekiel akadanganya account ilihakiwa ila msiba ukamuumbua full kujippst analia msiban
Wanaoumia hamisa kwenda Uganda kwenye party ya adui wa shareholder wake wanye wajipake wavimbe wapasuke
Hata kama ingekuwa bure adui wa adui yako ni rafiki yako kwamba asiende ili siku moja zari ampende hamisa au ndo wawe mashosti tangu lini wake wenza wakaivana,
Hamisa tukomeshee masikio popo, bibi tukinao, mtumia midoli na porn star wa kimataifa MPE kichambo mpaka nafsi isuuzike angekuwa special angetuliza kidudu cha bwana ake kisiinuke kwa low life women
HahahahaaaHuko insta mambo ni hiviii,kumbe siku ya tuzo alizopata daimond zile tatu kule SA,alimuacha bitukinao akaenda lala na hamisa
Huwezi shindana na umri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anafanania katuni heheheheheeeee haaaaloView attachment 657088 hizi make up na camera za iphone ni kiboko
Ahahahahahah si kwa chambo hizo
Jeshi la mtu mmoja ni misa,,zari na familia yake wote wanaendeshwa na katoto
Kwani kunyonyesha lazima
Jiwe limerushwa gizani yeye limempata. Na katoa mapovu haswa.Uganda wote wanafahamu zari ana bifu na boss wa hamisa(don zella) so ujumbe ulikua wa Don ila sasa tununu ili amfurahishe don wake akajiweka kati kwenye ugomvi usiomhusu
Hivi kwanini dai hakwenda Ug alikua na shoo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha misa yupi huyo aliyeenda kugeuzwa sanamu na nguo yake ya komunio uganda na adui wa zari hahahahaha kila anachofanya zari, misa anaiga pyeee pyeeee zari ni maji usipoyanywa utayaoga
Thread nzima tunamjadili zari zari awesome
Ndo mana nasema wanamshauri tununu hawamshauri vizuri,yeye kesho ya mwanae haijui kazi kukaa mitandaoni na kujibishana na watu wenye mali za urithi[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto hanyonyeshw tangu ana miezi miwili kama sio mmoja na nusu ndo akaanza harakati za kudai pesa ndefu.
Hata mie nasubiria mwisho wake kheee isiishe bana ntakosa wa kubishana nao humu
Nyota imechukuliwa ghafula na hamisa...sijui nn kimetokea aisee yaan mpaka wolper anamshinda now....liwolper lichaga sasa hivi linatafuta pesa aseee...wema kick zote zimekataaa hivi karibun doo!Wema sasa hiv kaamua ahamie kwenye siasa hakuna anaemuongelea ahahah