Zari ndio wa kwanza kutonyonyesha nyieni vipofu ati
Kwni haruhusiwi kupenda?Mkuu jokate ana akiri gani tuanzie hapo Huyu demu naye si alishawai kutiwa na Diamond sasa anatofauti gani na mobeto na wengine hana akiri yoyote
Jiwe limerushwa gizani yeye limempata. Na katoa mapovu haswa.
Ndio maana anakondeana kwa stress
[emoji23][emoji23][emoji23]Kisa pesa,zari anachamba huku anaingiza pesaaaaaa. Cheki tangazo la danube ,cheki hivyo vichambo kisa white partyyyyyy. Money baby moneyyyyyy
....huu ni ulevii tu kama kubeti !Tutajenga viwanda kweli maana kutwa umbea tu
Bado sijaonaga utajiri wake, anamsema mwenzie wakati yeye anategemea watoto wake kuishi miaka nenda, mwaache aendelee kuishi maisha ya kutufurahisha walimwengu.Hahaha waulize wanaosema tajiri ana ma empire
Unajua nn .....Haina haja yakuambiwa ...Dunia imewekwa kiganjanj ..mambo yakusimuliwa nayo yanadidimiza Akili... Ingia chimbo ujue .Weka uthibitisho acha maneno weka hizo empire alizojijengea kabla ya ivan
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini jamani mwacheni misa ana stress mjue?kawa singo mama mara ya pili hii halafu baba mtoto kamkana tena redioni[emoji23][emoji23][emoji23]hebu mpumzisheni na ngie kama mnaingiza pesa kuweni busy basi achaneni na low life huyu kama mnavyomuita.
Ila zari katolewa povu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nsamaka hebu njoo wapitwa huku
Hivi mtaji alipewa na nani vileee
Bado sijaonaga utajiri wake, anamsema mwenzie wakati yeye anategemea watoto wake kuishi miaka nenda, mwaache aendelee kuishi maisha ya kutufurahisha walimwengu.
Uzi mtamu huu hebu niitie Mama Sabrina basi[emoji23]Majizo maana mahakaman aliambulia patupu ebooo
Umeambiwa hana akiri sio akili chutamaKwni haruhusiwi kupenda?
Hivi kwa mfano,hapa Bongo ni bibie gani anamzidi Zari pesa??Nisaidie kuwaambia
Uzi mtamu huu hebu niitie Mama Sabrina basi[emoji23]
Hivi kwa mfano,hapa Bongo ni bibie gani anamzidi Zari pesa??