TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
........lakini anazifaidi :msela:
Hujambo Mrembo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
Huyu mama yawezekana ni mrembo kwakumtazama tu haiwezekani akawa anapitiwa na kila mwanaume na bado hawakai I think urembo wake ni kama cover la kitabu,I mean kuna wanawake warembo ambao mwanaume ukimpata huwez mwachia lakini kwa huyu dada nadhani kumepwaya sehemu ndo maana waliompitia hawa give a shiit about her.
mmmh!!! hapa na wasiwasi kama unamsema huyu boss lady au yule wa kwetu mwenye Projekti na Van vicker...?
Definetly huyu mama ana mission zake
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
Diamond suruali imetuna bado kwenda kuchomeka dyudyu tu......
huyu mama nadhani keshapalia bustani yake kule maana ilikua hatare
Ndio kinaniuma if it makes you sleep at night........
Nimeupenda mguu wa bi shost
ana miguu mizuri aisee