Zari white party

Zari white party

Huyu mama yawezekana ni mrembo kwakumtazama tu haiwezekani akawa anapitiwa na kila mwanaume na bado hawakai I think urembo wake ni kama cover la kitabu,I mean kuna wanawake warembo ambao mwanaume ukimpata huwez mwachia lakini kwa huyu dada nadhani kumepwaya sehemu ndo maana waliompitia hawa give a shiit about her.

mmmh!!! hapa na wasiwasi kama unamsema huyu boss lady au yule wa kwetu mwenye Projekti na Van vicker...?
 
Hapo kijana wetu alitakiwa alipwe kwa kuhudhuria hiyo party,Lakini kwasababu anapewa P basi kaenda bila kulipwa na anatafanya performance bure. On top of that hata nauli kajilipia

Kuna wanawake wametumwa hela hapa duniani. Mmama yupo strategic.
 
Teh teh teh hapo sasa watu ndio watazikia kumchukia domo anavyong'oa class we umejikalia na kina Mwajuma nipe uswahili wanaomba hadi hela ya pedi utaacha kumchukia Dogo?

Any way,Dogo afungwe ndoa sasa maana huu mtandao ni hatari
 
Lakini jamani haya ni maisha binafsi ya bwana platnumz. Mimi nadhani vijana karibia wote au wanaume karibia wote pia hii ndio tabia yao. Wanaume wanapenda sana kuwa na wanawake wengi na pia wa taste mbali mbali mbali.

Ndio maana zamani kabla ya kuja hawa wazungu , tulikuwa tunaruhusiwa kuwa na mitara(poligamy) na huo ndio utamaduni wetu kama waafrika. Mambo ya kawaida hayo jaman. Mwacheni platnumz ale vinono
 
Mimi ni msaniii x 2
kioo cha jamii x 2
Mimi naona mbali x 2
Kwa darubini kalii......malizieni
Domondi ameona mbaliii kwa darubini kaliiiiiii😷😷😷
 
Inasikitisha sana kuona kijana anashindwa kujitambua,anaenda kwa jimama lenye watoto watatu na kujiweka kimapenzi unadhani matokeo yake ni nini?Mwisho wa sinema hii ni kuona mtu akiondoka na ngoma wakati yupo kijana mbichi.

Muda utatupa yatakayotokea.
 
Nimeupenda mguu wa bi shost

ana miguu mizuri aisee
Zari-Hassan1.jpg
 
Back
Top Bottom