vijana wana kazi sana...!!!
so pesa zake alishinda kwenye bahati nasibu au??? kapata pesa bila kutarajia??? so hajazifanyia kazi???Limbukeni,ulimbukeni mbaya sana,hela ya kupata bila kutarajia hiyo na hajui kama inamdhalilisha mwenyewe.
Mtandao ni Mpana Sana...Mtandao umeenda kusambazwa uganda kuelekea South.
Mtakufa na NYETO,, NA MIWIVU YA KHIKE.
DIAMOND NI BALOZI. WANGESE MNAOWAHESHJM HAPA BONGO MA PIMBI TU..WAPUUZI WA ESCROW.
we jamaa nakupata vizuri hufanani na unayoyaandika humu
bora umemuumbua, wamezidi kuzusha haohizi za chini ya carpet zako ni uongo uongo.........
Tiketi za vip $400 zishauzika zote...., ukweli na usemwe tu
we jamaa nakupata vizuri hufanani na unayoyaandika humu
Dada anaonekana ni palatable. Acheni kijana apate kitu roho inapenda.
Mkuu una zoom kutumia lenzi gani, una macho makali wewe
Heaven on Earth kama mcharooo... lolLenzi mbinuko lol...
Si unajua umbea wangu
Mengi na K-Lyn sawa lakini D'mond na Zari no.
Haki sawa kwa wote
Zari seems to be a natural woman. I don't blame Dimond, any man would have done the same. She is irresistible more than Wema.