Zari white party

Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....

Haa haa haa haa!? Unataka aone nn tena mkuu?
 
Noma sana inonekana party ilifana sana na project iliendelea!
Nina cho furahi kijana anaendelea kutengeneza hela!
 

Attachments

  • 1418993711538.jpg
    46.3 KB · Views: 605
  • 1418993724836.jpg
    62 KB · Views: 600
  • 1418993739233.jpg
    53.6 KB · Views: 595
  • 1418993752362.jpg
    29.8 KB · Views: 597
  • 1418993769128.jpg
    34.5 KB · Views: 588
  • 1418993784765.jpg
    51.6 KB · Views: 574
  • 1418993803067.jpg
    56.1 KB · Views: 576
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....

Aiseeee
 

Attachments

  • 1418995513649.jpg
    52.5 KB · Views: 532
kila Christmas mwanamke mpy ilikuwa WEMA-JOKATE-PENNY-WEMA-ZARI.Hataree sasa hapo atawaonyage wanae wakiwa adults
 
kila Christmas mwanamke mpy ilikuwa WEMA-JOKATE-PENNY-WEMA-ZARI.Hataree sasa hapo atawaonyage wanae wakiwa adults

Jamaniii huu ni ujana kila mtu alipitia hapo tena anajitahidi walau anabadili kila krismasi wengine hata miezi sita hawafiki wameshabadili chombo, diamond ni mwanaume kama wanaume wengine tena wa kitanzania tusisahau ilo, tena bora yeye hana siri kuliko hawa wasiojulikana mambo yao ndio wanakuwa watata sana
 
Acha wapakazane vvu tu mbaazi zipo za bure pale palestina hospital
 
Hahahaa diamond ni shidaa, akipost picha yake na zari anawaalert walambe ndimu sasa jioni hii watu wameanza kulalama ndimu zimeisha bongo hahahah wacha project iendelee

Hahahaa
Aiseeeee insta hakufai team naniii cjui nahisi wanajuta wanezoea kuwaonea wengine kea zari hawana hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…