Zari white party

Zari white party

loveleen

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
428
Reaction score
113
ciroc.png
Ni hayo tu
 
'Mbunye' bana utaweza fanya chochote. Huyu bwe.ge wetu linapelekwa pelekwa kama ling'ombe nalo linaenda
 
'Mbunye' bana utaweza
fanya chochote. Huyu bwe.ge wetu linapelekwa pelekwa kama ling'ombe nalo
linaenda

Limbukeni,ulimbukeni mbaya sana,hela ya kupata bila kutarajia hiyo na hajui kama inamdhalilisha mwenyewe.
 
Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.
 
Mi naisubiri kwa hamu hiyo siku ifike. damtanzania.

Hunizidi mimi, l cant wait. Alafu huyu mmama, anapoyafanya haya madudu wanae hawapo ? Au haishi nao nn. Namshukuru Mungu kwa kunipa mama nilie nae. Am forever grateful!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom