Zari white party

Zari white party

Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.

mama mwenyewe anapelekwa pelekwa tu na mtoto hana amri yoyote ju ya mwanawe chezea pesa ww
 
Huyu mama sio chizi, mi naimani kuwa yupo after something kwa huyo domo, na domo akiendelea hivi, yatamkuta ya kumkuta. Ngoja tuone mwisho wake

ye ana mission zake hapa........ hata hiyo white party anaweza kupata watu wengi

kisa Diamond yuko katika hiyo show...
 
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.
 
Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.

Mama wa uswahilini kwake ni poa tuu mradi mezani mboga tano na matunda hakosi. Elimu ni kitu muhimu sana.
 
Huyu mama yawezekana ni mrembo kwakumtazama tu haiwezekani akawa anapitiwa na kila mwanaume na bado hawakai I think urembo wake ni kama cover la kitabu,

I mean kuna wanawake warembo ambao mwanaume ukimpata huwez mwachia lakini kwa huyu dada nadhani kumepwaya sehemu ndo maana waliompitia hawa give a shiit about her.

Diamond nae ni limbukeni na wala hajitambui coz ukiangalia wanavyopost pic kwa nguvu hii ni kuonyesha watu tu kwamba yuko nae,
 
kama kuna uwezekano wa kumuokoa huyu dogo....tafaaadhal mumsaidie......
'waganda' nina wafahamu..........isije ikawa... 'lulu iliyopotea','nyota iliyozimika' etc.
 
huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia ay au prof j kama is the issue ya kupata artist from tz.

hizi za chini ya carpet zako ni uongo uongo.........

Tiketi za vip $400 zishauzika zote...., ukweli na usemwe tu
 
Back
Top Bottom