Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Unadhani hayo maendeleo tutayapata vipi ikiwa tunatumia siku nzima kuchunguza watu wanaotengeneza maisha yao na kufanya ndoto za maisha yao kuwa kweli.....????
Tutayaona tu kwenye magazeti.. Kwa kweli inabidi watu wabadilike la sivyo huko tuendako hatutafika hata tupewe miaka 2,000,000... Ukikutana na comments za wabongo kwenye page za watu Insta au Tweeter unaeza tamani ujifungie kwenye handaki