Zari white party

Zari white party

Unadhani hayo maendeleo tutayapata vipi ikiwa tunatumia siku nzima kuchunguza watu wanaotengeneza maisha yao na kufanya ndoto za maisha yao kuwa kweli.....????

Tutayaona tu kwenye magazeti.. Kwa kweli inabidi watu wabadilike la sivyo huko tuendako hatutafika hata tupewe miaka 2,000,000... Ukikutana na comments za wabongo kwenye page za watu Insta au Tweeter unaeza tamani ujifungie kwenye handaki
 
Tutayaona tu kwenye magazeti.. Kwa kweli inabidi watu wabadilike la sivyo huko tuendako hatutafika hata tupewe miaka 2,000,000... Ukikutana na comments za wabongo kwenye page za watu Insta au Tweeter unaeza tamani ujifungie kwenye handaki
...........ndio maana rais anaamua akajipumzikie huko nje ya nchi kila mara...sasa unadhani wananchi wako kama hawa utadiscuss nao nini cha maana...zaidi ya umbea...tu??
 
...........ndio maana rais anaamua akajipumzikie huko nje ya nchi kila mara...sasa unadhani wananchi wako kama hawa utadiscuss nao nini cha maana...zaidi ya umbea...tu??

Comment yako imenifanya nicheke
 
Huyu mama yawezekana ni mrembo kwakumtazama tu haiwezekani akawa anapitiwa na kila mwanaume na bado hawakai I think urembo wake ni kama cover la kitabu,I mean kuna wanawake warembo ambao mwanaume ukimpata huwez mwachia lakini kwa huyu dada nadhani kumepwaya sehemu ndo maana waliompitia hawa give a shiit about her. diamond nae ni limbukeni na wala hajitambui coz ukiangalia wanavyopost pic kwa nguvu hii ni kuonyesha watu tu kwamba yuko nae,

Ww umeshampitia? Acha wivu wa kike mtt n mrembo yule
 
Huyu mama yawezekana ni mrembo kwakumtazama tu haiwezekani akawa anapitiwa na kila mwanaume na bado hawakai I think urembo wake ni kama cover la kitabu,I mean kuna wanawake warembo ambao mwanaume ukimpata huwez mwachia lakini kwa huyu dada nadhani kumepwaya sehemu ndo maana waliompitia hawa give a shiit about her.

mmmh!!! hapa na wasiwasi kama unamsema huyu boss lady au yule wa kwetu mwenye Projekti na Van vicker...?

I see
 
Ww unajuwa kwa yule demu wako wa manzese wameopita mateja wangapi? Achen wivu dai.. ale vinono c kazitafuta pesa mwenyewe

Watu wanajifanya malaika wanasahau list zao zaeza fika wapi so wanaishia kutukana tu.. People tuacheni hizi tutafute pesa
 
mimi nashindwa kuelewa watanzania wenzangu, issue ya zari na almasi inakuwa main subject!! Mimi nafikiri maisha ya watu binafsi tuyaache kama yalivyo hata maandiko yanasema mathayo 7
1 msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2 kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

3 basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

4 au utamwambiaje nduguyo, niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

5 mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.

a
m
e
n
 
Huyu mama ni mzuri kikweli ila ukiangalia ile video yake alipokuwa anampokea Diamond, halafu ukasoma background yake kwa kina unaweza kubaki unajiuliza maswali mengi sana kumhusu. Kwenye video alipokuwa akiongea alionekana tofauti na wakati alipopozi kupigwa picha; anapopozi kwa picha anakuwa mzuri sana wakati anapoongea anaonekana wa kawaida tu. Background yake inaonyesha kuwa amekuwa anabadilisha wanaume kwa muda mrefu sana na mara zote amekuwa na ugumu wa kuwakeep; unashindwa kuelewa kwa nini wanaume wanampitia na kumwacha kwa muda mfupi. Hata mme wake waliyekaa pamoja kwa miaka kumi na nne na kuzaa watoto pamoja na kumsomesha na kumpa mali zote zile alizo nazo leo bado amekuwa hana penzi la dhati naye. Magazeti ya Uganda nayo yanavyomwandika na jinsi wanaume waliompitia wanavyomchambua, nadhani inachangia sana kumfanya awe stressed na kuwa desperate kupata mwanamme wa kumtuliza; stress hizo zinaonekana usoni akiwa anaongea. Kulikuwa na ripoti ya kuwa alikuwa anakaribia breakdown kuhusu uandaaji wa pati hii kwa vile mme wake alikataa kumsapoti mwaka huu. Hivyo kwake kumpata Diamond ilikuwa ni boost kubwa sana ambayo ni lazima atakuwa anamheshimu sana. Nadhani atakuwa na amani kidogo na Diamond katika kipindi hiki kwa vile watakuwa wanakutana mara moja moja na kujituliza, siyo ile ya kuwa beneti muda mwingi. Hata hivyo Diamond atatakiwa pia awe msiri wa mambo yake mengine kwani huyu mama anajulikana kwa kuwa na wivu na hasira za haraka; ambayo ni tabia ya kawaida kwa wanawake wengi wa Libra.

Kwa wanaume wanaomkosoa Diamond nadhani siyo wakweli; hakuna mwanamme wa umri wa Diamond angeweza kuparamiwa kwenye ndege na manamke wa aina hii halafu akampuuzia. Mwacheni Diamond atumie ujana wake; wote wawili wana rekodi zinazofanana kwa hiyo huenda watajuana vizuri sana. Wakishindwana wataachana kama ilivyokuwa kwa wengine waliowapitia.

Umeanza vibaya ktk uchambuz wako coz wanaume aliotoka nao Zari hadi kifikia umri wake n wachache kulinganisha na wasichana wengi Duniani ie Wema, Lulu na hata demu wako.
Bt umemaliza vizur iliposema tumuache dai ale vyake coz wanaume wachache sana wanaweza kuacha utamu even if they are married. Bravo
 
Ww unajuwa kwa yule demu wako wa manzese wameopita mateja wangapi? Achen wivu dai.. ale vinono c kazitafuta pesa mwenyewe
bora mlemavu wa kiungo kuliko mlemavu wa akili kama wewe
 
Jf bana,unaushahidi kwamba hajalipwa???papuchi anapewa yeye na crew yake yote ama😎😎😎 zari kuwalipia ticket na kilakitu katika show sio shida all she wants is popularity

Vipi wewe una ushahidi kuwa kawalipa?
 
Back
Top Bottom