- Thread starter
- #21
Acha kusingizia Mungu hapendiNaona Mungu upo kazini
Ina mana hata kama mayai yameisha atapata mimba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kusingizia Mungu hapendiNaona Mungu upo kazini
😝😝😝 Kwanza kabisa unatakiwa uelewe kuna pande mbili za mshitaki na mshitakiwa kila mmoja anavutia upande wake.Soma hapa uelewe acha kuwa kichwa ngumu.View attachment 1081460
Dont be stupid like ur boss
Shemeji amekosa utulivu!Zari kakosea sana kuanza bishana... Angemute..
Kahariibuu.... Sasa anjisema mwenyewe kwamba nyumba si yake.. Sijui nyumba nne ..!?
Hizo nyumba nne hata picha moja hajawahi piga.
Anzingua...
Ila Mondi alimvuruga sanaa.... Kuliwa na trainer... 😂😂😂😂😂😂😂😂
Shemeji amekosa utulivu!
Hakulitegemea hilo bomu,anatumia nguvu nyingi sana
Noma sana..Shemeji amekosa utulivu!
Hakulitegemea hilo bomu,anatumia nguvu nyingi sana
Amebaki ooh kiki .yaani dai ameanza kujulikana kabla huyo zari,ndio maana akamnyatia😝😝😝 Kwanza kabisa unatakiwa uelewe kuna pande mbili za mshitaki na mshitakiwa kila mmoja anavutia upande wake.
Unakubaliana nami hiyo nyumba anayoishi sasa ni 100% ya diamond na hakuna mtu mjanja wa masuala ya kihuni ya kindava kama Salam Sk Zari hana uwezo wa kucheza na ile management kabisa muulize Ruky cute na wenzake wanafahamu.
Zari ni kweli ana nyumba SA ila za kupanga tu nyumba ambayo ni yakwake ni moja tu ni hiyo iliyonunuliwa na dai na sio yake kwa maana ya mmiliki ila ni yaks kwa maana ya umaza hausi
Sasa wewe ni mungu mpaka ujue mayai yameisha? Au hawezi kuzaa?Acha kusingizia Mungu hapendi
Ina mana hata kama mayai yameisha atapata mimba?
Hiyo mwenyewe naweza kuioshazeshchriss nipe kazi ya kuosha miguu,tuachane na mastory yakina zari.
Dah iyo miguu,Nakuosha ukiwa ume relax,ukiendelea kupata kinywaji.Hiyo mwenyewe naweza kuiosha
Hahahahahahaha picha tu hiyo mkuu hiyo miguu ni mibayaaaDah iyo miguu,Nakuosha ukiwa ume relax,ukiendelea kupata kinywaji.
Duh kisa cha kutokunywa chaiUnaweza kukuta wachangiaji wa hii maada 70% hawajanywa chai asubuhi
Zari kapata umaarufu Tanzania baada ya kuwa Dai,Zari kapata umaarufu E.A nzima baada ya kuwa na Dai.
Kapata followers kibao baada ya kuwa na Dai leo hii wabongo na wakenya wakimu_Unfollow hahaha nazani atabaki na 900K tu.
Kile chuo nadhani ni sawa na Mapinga education institute ya Sinza mapambano hakina hela[emoji29][emoji29].
Mwenzake anamiliki Media ambayo itamlipa mpaka anakata moto.
ALAFU MAAJUZA WENGI WA KIBONGO WANACHUKI ZA NJE NA DAI KWA KU_SIDE NA ZARI KUMBE NDANI WANAUMIA KWANINI WAO ANAWAMEGA TU KAMAKINA RUKY CUTE DORY CUTE ALAFU AKABEBE MWANAMKE OFFICIAL TAIFA JINGINE [emoji13][emoji13][emoji13]
HahahaahahahhaNaona Mungu upo kazini
😃😃kuna mitaa huwa napita,nawaonaga vijana wapo busy kazini kuosha miguu ya watoto wakali,nataka niifanye kama hobby lakini zeshchriss unanibaniaHahahahahahaha picha tu hiyo mkuu hiyo miguu ni mibayaaa
Samahani Mimi sio mkali[emoji2][emoji2]kuna mitaa huwa napita,nawaonaga vijana wapo busy kazini kuosha miguu ya watoto wakali,nataka niifanye kama hobby lakini zeshchriss unanibania