Uko Mkoa gani kwanza?Habari ya asubuhi waungwana.
Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo.
Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi kutoka kwenu wana jamvi, nafahamu wengi wameshawahi kulifanya hili, eidha kwa kupokea kutoka kwa wachumba au kumpatia mchumba wako na akafurahi.
Asanteni, Karibuni!
Asante mkuu, perfume zipo nyingi! Ipi unadhani inaweza kumpendeza mwanamke yeyote, hiyo siyo mpaka muhusika mwenyewe achague?Perfume inatosha na box la chocolate. Kama sio mtu wa shukrani hata umpe gari ya 0km atakuona boya tu kwa kuwa rangi hajaipenda.
Asante mkuu, perfume gani inaweza kuwa nzuri? Sifahamu perfume anayoitumiaZawadi ni lugha tamu katika mahusiano, yawe ya kimapenzi ama mahusiano ya kirafiki na ndugu zetu… mapokeo yake uwa ni extraa kuzidi na kumpa mtu hela leo, kesho kaimaliza kufix michangamoto yake.
Ila zawadi itaishi muda mrefu… kama ni mtu wa shukrani, atafurahi sana.
Kwa hiyo budget.. waweza pata skin jeans kama ni mvaaji, ka perfume.. unaweka ktk gift bag unampa
Dolido itamfaa. Bei utapewa maelekezo na watumiajiHabari ya asubuhi waungwana.