Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

IMG-20231126-WA0014.jpg

Mfano hii, Hapo ukiongeza perfume hata ya sansiro ya 3,000 lipshine ya 3,500 na cheni, hereni, bracelet au saa ni unyama sana.

Asiposhukuru achana nae
 
wanawake wanapenda vitu vidogo vidogo mno, yaani unaweza mtu mwingine ampe cash ya milioni au laki mbili, ila wewe ukimletea kadi nzuri na maua, kisha uweke na chocolate bar, au keki nzuri ya pink iloandikwa I love you, pamoja na perfume nzuri tu mwamba unatisha na unaweza wewe ndio ukala mzigo siku hiyo yule wa milioni cash asubiri zamu yake kesho.
Mimi nimekula sana mademu kwa kuwa mr romantic na kuwa charming na kwa vizawadi vidogo vidogo tu ambavyo huwezi sema nimehonga kabisa
 
Okey...

Kuna hawa wakuitwa 'Albait Perfume' ni Waturuki wale nadhani....Wanaweza kuwa pale Plaza au NSSF building...

Nenda kamchangulie Perfume nzuri unadhani anaweza kuipenda, uzuri wana kila aina...Wanauza 40,000 maduka yao...kwingine hadi 45,000/=..

Hiyo hela nyingine inayobaki kwa budget yako uliyoeleza hapo...Mnunulie Shower Gel ya 'Naomi' ile ya pink.

Kila lenye kheri.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom