Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Halafu niliona ni 5k Ila kama ni 50k.

Mpelekee picha hizi za kuchora maana ni zawadi bora kabisa na mara nyingi watu huziweka sitting room au bedroom, na kuifanya kuwa memorable zaidi

IMG_20231127_101026.jpg
 
Kaka kama ni fimbo ya mbali usiwekeze sana moyo, tumia akili zaidi. Ni ushauri tu
Masuala yote ya msingi yamezingatiwa mkuu, by the way ninachofanya ni kurudisha shukrani kidogo au ishara ya kutambua mema mengi ambayo nimewahi kuyapokea kutoka kwake, kama uliweza kupitia thread ya "Mtu gani ukipata tatizo anaweza kukusaidia" basi humo nilimzungumzia kwa kina.


Anyway asante kwa kujali mkuu. Tahadhari yako inaweza kumfaa mtu
 
Masuala yote ya msingi yamezingatiwa mkuu, by the way ninachofanya ni kurudisha shukrani kidogo kwa mema mengi ambayo nimewahi kuyapokea kutoka kwake, kama uliweza kupitia thread ya "Mtu gani ukipata tatizo anaweza kukusaidia" basi humo nilimzungumzia kwa kina.


Anyway asante kwa kujali mkuu. Tahadhari yako inaweza kumfaa mtu
Sijapita mkuu naomba link nikasome, wanasema za kuambiwa changanya na zako nakubaliana nawe tahadhari yangu itawafaa hata wengine.
 
Back
Top Bottom