Azul
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 647
- 1,349
Nimependa..umempa dongo la j3 asbh kuwaza mapenzi,ila umempa na ushauri wa jambo lake.Jumatatu asubuhi hii unawaza mapenzi.. Kweli umependa mkuu.
5000 or 10000, tafuta kitu kitachoishi muda mrefu kama nguo simple simple au accessories kama bracelets au hereni maana zipo za bei hiyo, nzuri tu.
Pia thamani ya kitu ni kutokana na hisia za mtu juu yako. Kama hupendwi hata ujihangaishe vipi ataona haujafanya kitu so, kama una uhakika yupo sawa na wewe. Chochote utachompelekea atakifurahia based na uwezo wako wa kipato.