Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Kuna mtu nimemnunulia saa ila sijampa bado sasa nikawa napitia comment za watu nikawa sioni saa nikahisi nimenunua zawadi ya kipumbavu nikaanza hadi kuwaza nikanunue zawadi tofauti
Asante kwa kunipa moyo umefanya nione kumbe sijakosea japo ni saa ya bei ya kawaida.
Saa ni zawadi nzuri sana na yenye kumbukumbu.... hujakosea upo sahihi
 
Saa ni zawadi nzuri sana na yenye kumbukumbu.... hujakosea upo sahihi
Nimenunua saa ya bei ya kawaida ila ni ya kitofauti hata yeye hawezi kujua bei yake, mwanzo niliwaza hizi perfume nikaona naweza kumpelekea ikaleta tafsiri mbaya ukizingatia ni mtu ambae sina muda mrefu tangu nijuane nae.
 
1.Mnunulie Saa ya mkononi elfu 8 tu inatosha
2.Deodorant ya elfu 5
3. Chupi dozen 1 hapa inategemea na aina ila elfu 10 ni quality nzuri
4.Elfu 2 mnunulie Apple na maji makubwa
Jumla itakua 25,000.
Mmmmh mnatia chaka

Mie nilishapeleka zawadi sehemu nikaambiwa hizo situamiagi bora ungeniuliza mwenyewe au ungenipa hela... Toka siku mtu akiniambia.zawadi ni bora aseme yeye nn nimchukulie kama.zawadi na sio nikakurupuka kumchukulia
 
Kwa mchanganuo tu
1. Greeting Card (ya malavidafi) ni Tsh 2500 tu.
2. Maua Rose fresh yalofungwa vizuri kwenye transparent nailon Tsh 7500 tu.
3. Milk Chocolate bar ya size ya kati ni Tsh 12500 tu
4. Cake nzuri ilyopambwa rangi za kike ie pink nk yenye maandishi You set my heart on fire Flani bin flani ni Tsh 20,000 tu
5. Perfume ya simple tu achana na waturuki zina ni uvundo, perfume simpo yenye harufu isiyokera kama matunda si matunda nk, hapa napendekeza My DEAE BODY wild at kiss, huu unyunyu ni shida ..bei chee tu Tsh 7500.

Hapo mwamba umetumia 47,500.
Hiyo buku mbili na nusu, boda ya buku itamleta magetoni, buku itamrudisha kwao (jumla 2000), na wewe jipongeze kwa energy drink ya 500 😂 maanake wallah utakula mzigo sio hiyo si wakitoto😂
wanawake wanapenda vitu vidogo vidogo mno, yaani unaweza mtu mwingine ampe cash ya milioni au laki mbili, ila wewe ukimletea kadi nzuri na maua, kisha uweke na chocolate bar, au keki nzuri ya pink iloandikwa I love you, pamoja na perfume nzuri tu mwamba unatisha na unaweza wewe ndio ukala mzigo siku hiyo yule wa milioni cash asubiri zamu yake kesho.
Mimi nimekula sana mademu kwa kuwa mr romantic na kuwa charming na kwa vizawadi vidogo vidogo tu ambavyo huwezi sema nimehonga kabisa
 
Back
Top Bottom