Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
hapo inategemea sasa,,nilishawahi kua mahusiano na mdada mmoja ukimpelekea zawadi ya gazeti la mwananchi anafurahi sanaMmmmh mnatia chaka
Mie nilishapeleka zawadi sehemu nikaambiwa hizo situamiagi bora ungeniuliza mwenyewe au ungenipa hela... Toka siku mtu akiniambia.zawadi ni bora aseme yeye nn nimchukulie kama.zawadi na sio nikakurupuka kumchukulia