Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Inaonekana mnafahamiana kwa muda mrefu. Ni lazima kuna vitu anavipenda unavijua tu, tuliza akili ufikirie.
Hakika, almost 10 yrs now tumefahamiana mkuu! So you can imagine... Ila kutambua zawadi mara nyingi linakuwa suala la kubahatisha unless umuulize muhusika mwenyewe ambapo sasa inapoteza ladha
 
deductive reasoning,

fikiria vitu gani anapenda kuviongelea, anavitamani akiviona kwa watu, akivion/kuvisikia uso wake unabadilika nk...
 
usiwe nahasira bwanamdogo nimekupa ushauri tuu.kwaba jitafute elfuhamsini haifai hata kumpa mdogo wa demu wako/bwaashemeji wako akanunue maji so jitafute kwanza
Wewe ni mpuuzi maana unatoa ushauri ambao haujui unautoa kwa mtu gani! Unapaswa kujifunza kwanza namna ya kuandika! Sitaendelea tena kukujibu maana naona una nia ya kuharibu uzi wangu wewe.
 
Mtafutie Silver set ambayo ina Chain na vihereni vyake. Utapata gram kutokana na budget yako.
 
Unaona aibu wewe, mie now nimekoma zawadi ,juzi kati ilikua nimchukulie mtu zawadi ,ila nikajiuliza akikataa au kuikosoa si nitakua nimeumbuka na kujipendekeza ?/
Watu wengi hawajui maana ya zawadi, tena inayotoka kwa mpenzi hata kama ni mbaya/kidogo ipokee na uifurahie na kutoa shukrani.
Uzuri wa zawadi iwe sapraizi sio uulizwe ujue kabisa ni nini A to Z.
Niliwahi mnunulia dear ex zawadi akaikosoa mno, oh bora ungeniletea kitu kingine nikamwambia zawadi huwa haikosolewi nashukuru alinielewa.
 
Na ndio maana wengine tunaogopa kupeleka zawadi kwa style kama hiyo ya kuikosoa au mtu hasemi kitu anakaa kimya ,anaiweka dampo huko
 
Mtafutie Silver set ambayo ina Chain na vihereni vyake. Utapata gram kutokana na budget yako.
Asante. Hii ninaipata kwenye maduka ya vito vya thamani au duka lolote la urembo?
 
Na ndio maana wengine tunaogopa kupeleka zawadi kwa style kama hiyo ya kuikosoa au mtu hasemi kitu anakaa kimya ,anaiweka dampo huko
Kama mwezi umeisha nilimnunulia dada mmoja zawadi ya cake sikuambulia hata neno moja la shukrani licha ya kuwa ananiimbia mara kwa mara ananielewa sana, nikajiuliza huyu ndio ananielewa sana anakosa shukrani hata kidogo? Nimempotezea.
 
Hahahahahaha,mkuu mie hizo nishakutana nazo kibao, tu ,hivi huwani makusudi au anakua anawajaribu kama utanunua kweli?
 
kuhonga siozambi ila nimekushauri utafute hela kwanza mana unaonekana unapanda kutunza ila mfukowako nimfupi mkuu

mimi nilikuwa sihongi kabisa kipindi Niko kwenye 20s lakini sasa hivi nahonga hadi nyumba kwakuwa nishajipata

jitafute ukijipata utahonga mabilioni sio elfuhamsini dogo langu
Acha kulazimisha kila mtu aishi maisha ya kiboya kama yako, ushamba wenu mnataka kila mtu aige, jombaa huu uzi unaonekana si mahala pako, acha negativity hizo
 
Mimi huyo jamaa nimemuona ni mpuuzi tu hata kwa kuangalia hand writing yake inaelezea vizuri ni mtu wa aina gani, kwanza umri wangu haufahamu, mimi hanijui na yeye pia simfahamu lakini anazungumza kama vile mimi ninaishi naye
 
Back
Top Bottom