Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Pesa inaweza kuwa ukumbusho mkuu?
Skuhizi watu hawahitaji ukumbusho leo tufanye umemnunulia labda kazawadi kako ka 50k kesho kakutema kakutana na fogo linampiga mahela unadhani atakumbuka kale kauchafu kako na unataka ukumbukwe ww yesu?
 
Zawadi mpeleke kibanda umiza akaangalie match ya Man city au Bayern amuone Harry Kane anavyotupia migoli
 
Nilimpelekea kikombe kilichogongwa picha yake, ni zawadi ndogo ya kijinga ila yeye alifrahi na anaitunza sana!
Yaaani Hawa watu ni kucheza tu na saikolojia na akili zao basi!
 
Back
Top Bottom