Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

Taured

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
805
Reaction score
684
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini?

Zawadi yangu haitazidi 50,000/

Karibuni Kwa ushauri
 
Watumishi sijui wana shida gani wana mishahara midigo ila wana ipangia matumizi ya sio kua na umuhimu katika basic life.....masikini akisoma ni shida sana.
 
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini
Wow
What a beautful game 🥰

Huku wenye tumejaa na staff wazee, mambo hizi hamna haki nimepata kawivu 😂😂😂

Cc Lenie
 
Zawadi za wanawake huwa haziumizi vichwa wala.....handbag nzuri, hereni, saa nzuri, perfumes, showel gel nzuri, lotion aipendayo...viatu kama unaijua mikato yake nk

Nb: kwa kipindi hiki unaweza kufanya kaupelelezi kwa watu wake wa karibu, make mimba huwa ina mambo mengi unaweza mpa pochi akaitupa sio yeye ni mimba.
 
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini?

Zawadi yangu haitazidi 50,000/

Karibuni Kwa ushauri
Hapo anza na kitenge, then fikiria kingine cha kuongezea ili itimie hiyo 50K
 
IMG_20230424_102933_130.jpg
 
Mke wako kama huwezi kumuajiri mwenyewe kwenye family business, hapo jua anapigwa tu na hao wanaume waleta zawadi, ukiwa masikini wivu achana nao lazima ile makapi..........kwanini nioe mtumishi wakati pesa ninao sitaki kusaidiwa.
Siku ya talaka, muulize Depal akufafanulie kule Simba wanapoenda kupiga mtu
 
No mchezo wao nimeupenda 🤣
Unadumisha umoja na mapendo
Ingawa eneo la kazi ni eneo la kuwa makini na mambo mambo za ushoga.
Huo mchezo ni mzuri sana, ofisi nyingi hua wanafanya.

Ofisi yangu ya zamani tulikua tunafanya hiyo, ila siku ya kupeana zawadi ni siku ya kufunga ofisi Ile ya mwisho wa mwaka so tunaenda mahali pa kuenjoy mf. kwa hotel nzuri, ilikua raha sana na inadumisha upendo kwa wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom