Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Una ufala sana [emoji28][emoji28]Kitambaa cheupe ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ufala sana [emoji28][emoji28]Kitambaa cheupe ndo nini?
Kati ya sex na gender ipi ni social construct?Jinsia pia
GenderKati ya sex na gender ipi ni social construct?
Ni ukweli mtupu.Baadhi yao Ukifika majumbani kwao hata fenicha za maana HAKUNA,chooni siling board hakuna.Watumishi sijui wana shida gani wana mishahara midigo ila wana ipangia matumizi ya sio kua na umuhimu katika basic life.....masikini akisoma ni shida sana.
Nani mwingine kajua lengo la picha sio kuonesha hiyo baby walker?
Kazi ya pesa sio kula na kunywa TU lakini pale unapoweka ubavu wako Ni muhimu pawe pazuri hata siku ukianguka wakikubeba wanaona uko panapoeleweka.Kinyume na hapo utachekwa TU.Tafuta Hela uache kufuatlia maisha ya watu
Ukishakufa huna maana Tena enjoy maisha, hata ndege wanalala kwani Wana nyumba? Kila mtu ana mipango na malengo yake hata hivyo sio lazima tufanane kimitazamoKazi ya pesa sio kula na kunywa TU lakini pale unapoweka ubavu wako Ni muhimu pawe pazuri hata siku ukianguka wakikubeba wanaona uko panapoeleweka.Kinyume na hapo utachekwa TU.
Pili lazima uwe mbahili wa kutoa pesa,sio Kutoatoa TU hutaendelea.
Matajiri wote Ni BAHILI.
Tatu natafuta pesa @WEGU FOOD&CLOTHES COMPANY.
Issue sio kufa,Ni heri ufe maana hutaona hata watoto wako wakiteseka na hata wewe hutateseka.Ukishakufa huna maana Tena enjoy maisha, hata ndege wanalala kwani Wana nyumba? Kila mtu ana mipango na malengo yake hata hivyo sio lazima tufanane kimitazamo.
Unajifanyaga mjuaji wa Kila kitu na kujiona una akili sana kumbe hopeless tuIssue sio kufa,Ni heri ufe maana hutaona hata watoto wako wakiteseka na hata wewe hutateseka.
Issue Ni hii Leo ukipata ULEMAVU WA KUDUMU UTAISHI VIPI???
Malengo ya kula na kunywa TU Ni malengo ya MASIKINI,HAKUNA TAJIRI ANAYEWAZA KULA NA KUNYWA TUU.
NAOMBA NISAMEHE TAFADHALI.Unajifanyaga mjuaji wa Kila kitu na kujiona una akili sana kumbe hopeless tu
NAOMBA NISAMEHE TAFADHALI.
Niliongea TU kwa WEMA NA SIO KWA UJUAJI NA AKILI SANA.
NB:Nageuza maneno yako kuwa BARAKA kwangu kwa jina la YESU