Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

Mama mjamzito anahitaji vitu vifuatavyo

1. Mpira wa kutandika wkt wa kujifungua (elfu7)
2. Kanga kuu kuu lkn ziwe safi kwa ajili ya kumviringishia mtoto akijifungua (elfu10)
3. Beseni la kujisaidia haja ndogo akiwa leba (elfu 5)
4. Chupa ya chai (kabla ya kujifungua anahitaji awe na chai yenye sukari impe nguvu kupush) (elfu9)
5. Back up ya kama laki au laki na nusu endapo atajifungua kwa upasuaji.

Fanya hivyo na hatokusahau.
mambo yote hayo unayafanya kwa mke wa mtu ??
 
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini?

Zawadi yangu haitazidi 50,000/

Karibuni Kwa ushauri
Wajawazito wanapenda kuongea ongea vitu wanavyo penda
Mtumie mpambe wake kukufanyia ukachero ujue anachopendelea....
Huwa wako choose sana, ukimpa asichokipenda hatafurahia bila kujali gharama yake....
 
Back
Top Bottom