Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Me nautaka huo wa vikaratasi vya secreto 🤣🤣🤣Huo mchezo ni mzuri sana, ofisi nyingi hua wanafanya.
Ofisi yangu ya zamani tulikua tunafanya hiyo, ila siku ya kupeana zawadi ni siku ya kufunga ofisi Ile ya mwisho wa mwaka so tunaenda mahali pa kuenjoy mf. kwa hotel nzuri, ilikua raha sana na inadumisha upendo kwa wafanyakazi.