Watumishi sijui wana shida gani wana mishahara midigo ila wana ipangia matumizi ya sio kua na umuhimu katika basic life.....masikini akisoma ni shida sana.Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini?
Zawadi yangu haitazidi 50,000/
Karibuni Kwa ushauri
WowTarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini
No mchezo wao nimeupenda 🤣Watumishi sijui wana shida gani wana mishahara midigo ila wana ipangia matumizi ya sio kua na umuhimu katika basic life.....masikini akisoma ni shida sana.
Kula wake zetu ndiyo zenuNo mchezo wao nimeupenda 🤣
Unadumisha umoja na mapendo
Ingawa eneo la kazi ni eneo la kuwa makini na mambo mambo za ushoga.
Mke wako kama huwezi kumuajiri mwenyewe kwenye family business, hapo jua anapigwa tu na hao wanaume waleta zawadi, ukiwa masikini wivu achana nao lazima ule makapi kutoka kwa mkeo mwenyewe.........kwanini nioe mtumishi wakati pesa ninao sitaki kusaidiwa.Kula wake zetu ndiyo zenu
Wanawake ndio huwa na mambo mengi si mchezo ila wanaume ni wachache sana kua na pigo hizo za out za hovyo na party za ajabuajabu.Watumishi sijui wana shida gani wana mishahara midigo ila wana ipangia matumizi ya sio kua na umuhimu katika basic life.....masikini akisoma ni shida sana.
Hapo anza na kitenge, then fikiria kingine cha kuongezea ili itimie hiyo 50KTarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff
Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili afurahi siku hiyo japo sijui aliyeniokota nae atanipa Nini?
Zawadi yangu haitazidi 50,000/
Karibuni Kwa ushauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseh ukweli mchunguMke wako kama huwezi kumuajiri mwenyewe kwenye family business, hapo jua anapigwa tu na hao wanaume waleta zawadi, ukiwa masikini wivu achana nao lazima ile makapi..........kwanini nioe mtumishi wakati pesa ninao sitaki kusaidiwa.
Siku ya talaka, muulize Depal akufafanulie kule Simba wanapoenda kupiga mtuMke wako kama huwezi kumuajiri mwenyewe kwenye family business, hapo jua anapigwa tu na hao wanaume waleta zawadi, ukiwa masikini wivu achana nao lazima ile makapi..........kwanini nioe mtumishi wakati pesa ninao sitaki kusaidiwa.
Huo mchezo ni mzuri sana, ofisi nyingi hua wanafanya.No mchezo wao nimeupenda 🤣
Unadumisha umoja na mapendo
Ingawa eneo la kazi ni eneo la kuwa makini na mambo mambo za ushoga.
Unamaanisha mie nakula wake zenu? 🤣🤣Kula wake zetu ndiyo zenu