Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

Me nautaka huo wa vikaratasi vya secreto 🤣🤣🤣
 
Mama mjamzito anahitaji vitu vifuatavyo

1. Mpira wa kutandika wkt wa kujifungua (elfu7)
2. Kanga kuu kuu lkn ziwe safi kwa ajili ya kumviringishia mtoto akijifungua (elfu10)
3. Beseni la kujisaidia haja ndogo akiwa leba (elfu 5)
4. Chupa ya chai (kabla ya kujifungua anahitaji awe na chai yenye sukari impe nguvu kupush) (elfu9)
5. Back up ya kama laki au laki na nusu endapo atajifungua kwa upasuaji.

Fanya hivyo na hatokusahau.
 
Mke wako kama huwezi kumuajiri mwenyewe kwenye family business, hapo jua anapigwa tu na hao wanaume waleta zawadi, ukiwa masikini wivu achana nao lazima ile makapi..........kwanini nioe mtumishi wakati pesa ninao sitaki kusaidiwa.
Hata huyo wa family business anaweza chakatwa tu kama hana nidhamu na mwili wake.
 
Mnunulie tyuuh vitenge bas, maana atatumia ktk ulezi wake.
 
Tafuta package ya vinguo vya watoto kwa kuwa hujui gender basi chagua rangi nyeupe au njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…