Unajua maana ya mtu kuwa uchi ww?nimeamini ww ni mluga luga...ndio maana upo nmb
Mwambie huyo asitake kutuharibia ushindi wetu hapa.....uchi uchi , uchi anaujua??
nimebadili mawazo. nataka ujitoe
Akienda beach itakuaje.......?
Alafu mbona kama umesahau kupiga kampeni?
Akienda beach itakuaje.......?
Hatoki mtu hapa, labda wewe ndo uje upokee bahasha yako uwe meneja kampeni wangu.....vipi unakuja??
Hivi manoah yupo ??naye namuweka kuwa masaidizi wangu wa campaign.....
ushaniona mi boya eeh...
Nilikuwa natoa stress kidogo....mmmmh
nipo kamanda...!
Hhahaha meneja ana stress?sasa tunashinda kweli kwa style ya stress
Hizi pm zina nifanya nikate tamaaa ila love don't let me go.....................google huu wimbo by david guetta