Hahahahahahahahahaha
Ulikuwa wapi saa zote.....?nilitegemea ungekua wa kwanza kwenye hili zoezi....anyway am glad u came. ..
manoah, unajua sikuelewi elewi?? nisposhinda utanibeba nakwambiadah! Nilikua nafanya mambo flani , upo njema?
‚Kura yangu inaenda kwa Mrembo by Nature
manoah, unajua sikuelewi elewi?? nisposhinda utanibeba nakwambia
Hahahahahaha hii ni kura moja kwa mbili walahi
@mrembo by nature tayari, mimi na wewe tena! Leo tunaenda hadi ile mida yetu ama sivyo?
Kura tatu zinanipa ushindi?? kuna yule mamluki yuko busy kweli na kampeni......kesho mwisho saa nane kupiga kura.....ukiniitia vichwa 10 tu vinanipa ushindi wa kishindo

Ni pm namba yako nitakuja maeneo soon this coming weekend....
Ok, kamanda usijari pamoja nita ku pm
Fit sana mkuu..........next ukija arusha let me know......
Arusha nitakuja huko mkuu, nitakutafuta before sijaondoka.
Anytime mkuu........nilikuwa huko kwenu wiki mbili ago man
NMB ina market share kubwa kuliko crdb mpaka sitimbi kwa kina Kipipi imefika,by the way Kipipi naomba kura yako iende kwa Rich woman
Duh Napata taabu kuchagua maana wengi warembo . Ngoja nifumbe macho nichague 1. Nampigia @FP. Kama inaruhusiwa kumpigia zaidi ya 1 Himidini nijuze tafadhari. Mimi nitabaki kua mtazamaji wa shindano hili manake ungetutaarifu mapema pengine tungeweka nasi picha za rangi