Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Sahihi kabisaUbaya ni kwamba kabla ya kukuvulia hiyo chupi utafanya mawasiliano nae(simu itatumika), mtapanga muda wa kuonana(saa itatumika) na mtakutana(fedha itatumika).
Muhimu: Kama hajitambui na kujiheshimu ataliwa tu.
Khalas.
Wajumbe njoeni mtoe neno
Intelligent businessman, Selikavu, Edo kissy, dosho12