Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

Demu ata umpe Dunia yote lazma akitembeze hayana formula๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ“Œmpe vyote ila jua wahuni tutamla tu hata kwa kulumangia na chumvi na ndimu!!!

๐Ÿ“ŒSisi nguvu yetu ipo kwenye kumpa muda na kumfanyia tuvitu vidogovidogo visivyotaka hela.Kupanga ni kuchagua.Maadamu unapoleweka wewe sisi tunakamua na kusuuza!!!

Hela hatutoi,zawadi hatutoi.Pesa yote tunawekeza UTT.

#Mapenzi yafutwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ