Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

Celebrity Mwijaku ametoa zawadi ya Eid kwa kulipia Kodi za nyumba jamii Maskini 1000 kwa miezi 12
Nabii Issa Bin Mariam alipoulizwa kuhusu sadaka akasema unapotoa sadaka na mkono wako wakulia basi hata mkono wako wa kushoto haupaswi kujua kama umetoa
 
Apambanee na vimada wake watoto chuo...asitutoe relini kwa ujinga wake......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…