Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

Wanakutana IST.

Hapo ukifatilia wote urafiki wao umeanzia shuleni International school of Tanganyika


Hata Mo dewji na watoto wa Bakhressa ni marafiki wamesoma pamoja IST na chuo kikuu wamesoma pamoja Georgetown marekani
Unataka sema hizi shule zetu hazifai au zinatengeneza waajiriwa wengi badala ya waajiri wengi
 
Unataka sema hizi shule zetu hazifai au zinatengeneza waajiriwa wengi badala ya waajiri wengi

Shule zetu zinafaa sana. Vijana wengi tu wamesoma shule zetu na wametajirika Kina diamond, majizo, etc

Biashara wala utajiri haufundishwi IST.

Mbinu za biashara ama utajiri Unafundishwa nyumbani kwenye familia yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…