Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

Kijana upo Iddle sana mpaka unakosa la kufanya unaamua kifuatilia maisha ya watu. Muda huu si ungeitumia kusoma Mkataba wa DP World, Katiba, Quran, Biblia au hata Swahili Course?
 
Mimi Mwenyezi Mungu akisaidia mwanang ukifika umri wa kuanza chekechea nikafanikiwa kumpeleka shule za mabasi ya njano basi nitajiona nimetisha sana kwa levo zangu sio aende shule kama mimi dingi yake za vidumu na chelewa kila siku ya ukaguzi mwamba natolewa mbele mchafu na Kula stiki mwishowe nikakamata kitengo cha kupiga ngoma ya ukaguzi maana wapiga ngoma ilikua hamkaguliwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…