ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?

Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali

Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
 
Ila nasikia ata kwenye ajira ni ngumu sana mkristo kupata au mtu anaetokea musoma kupata ajira pale
 
kama zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haifai ZBC kujaza maudhui ya kiislam kwa wingi katika vipindi vyake wakati ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya kiislam
 
Kuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
 
Ni bora wakaanisha maudhui kulingana na dini na imani za wananchi. TV ya umma unajaza maudhui ya dini moja tu haipendezi. Kama wanaupenda uislam ni bora waanzishe ZBC chaneli ya maudhui ya kikristo kama wanashindwa kubalansi vipindi vya dini katika TV hiyo
 
Sizani kama hapo juu katika maandiko yangu nimemtukana mtu ila ajabu sana kwako umenituka lekebisha kauli. Hapa tunaelimishana na sio kutukanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…