Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo