ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Wana msaada sana mpaka hapo mlipofika ni sababu ya wasomi wa Tz
 
Kwa, zenj,serikali ni islam, na islam ni serikali, maamuzi mengi yanafanyika kwa jicho LA uislam unataka nini! Hawaangalii vigezo vya ki uchumi,
Unazuia vileo visiingie kisiwani kisa, ni mfungo wa ramadhani! Wakati huo huo, uchumi wako, 80% inategemea utalii!,
Wazenj wengi wanafikria kupitia dini yao, quruan inachukua nafasi ya, katiba,
Huo ndio upuuzi, baba wa taifa la Uturuki, Mustafa ataturk, alipinga, na, akaweza kuijenga Uturuki vzr! Uturuki ni super power, na baa zipo kibao watu wanakula, haijalishi ni mfungo wa ramadhani au la! Kama Uturuki anafanya, sembuse nyie zenj!
 
Wewe na vyura huna utofauti
 
Elimu jua ilo kwanza wasomi ni wachache
 
Kuna mambo huwezi kuyabadilisha sasa sehemu 98% no waislamu unategemea nini? Waweke kwaya? Ule ni utamaduni wa watu wa zanzibar na lazima uheshimiwe, ramadhani inakuja utaratibu wetu ni ule ule bakora tu kwa makobe
huo utakuwa ni ushenzi kutandika watu bakora wanaokula mchana. Bara ukichapa mtu anaekula mchana utajibiwa vikali
 
Kwani haujui kua hako kawilaya kanaongozwa kwa sheria za mnyaazi "mungu" mambo mengi ya kijamii wana yaendesha kidini zaidi bila kujali imani za watu wengine
Engezea na kutokuwa na elimu skuli zipo ila hawataki kusoma
 
lile gazeti lao, mara rais alikuwa msikitini, mara kakutana kadhi, mara na mufti, mara kakutana na imaam wa msikiti fulani, gazeti la serikali front page linajaa uislam utadhani zanzibar ni nchi ya kiislam
 
Tukiwaambia zanzibar ni nchi huru sisi tanganyika tunalazimisha tu muungano mnakataa. ZBC ni ya nini wakati tuna TBC,rais wa nini wakati tuna rais wa muungano, ZFF ni ya nini wakati tuna TFF nk, Sisi watanganyika tunaforce muungano wakati wazanzibar hawautaki,na kwa taarifa tu waziri mkuu,na mawaziri wote utendaji kazi wao/mamlaka yao yanaishia bara tu wakati ni mawaziri wa jamhuri ya muungano,hata rais wa jamhuri ya muungano nae hana mamlaka kiviile kiutendaji kuihusu Zanzibar. Muungano huu unahusu nini sasa? muungano huu ni wa kisiasa tu na chama cha mapinduzi tu. OVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…