SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
watuua mwaka huu kwa haya mapishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watuua mwaka huu kwa haya mapishi
Ahsante...umpikie bwana lol
Hahahahaha leo umepika uji wa badia?
Pilau hapa nimeweka kama za aina tatu...wait nkuite huko kwa pilau...
Mie hii inabidi uje tupike wote
Hapana, keki yangu imetokea vizurii mno na ninahisi nimekuzidi kwa jinsi ilivyotokea. Nashukuru sana kwa hilo pia endeleza kuleta mapishi zaidi....You are the best.
Napendaa keki ya mchanganyiko kama hio...Upo juu shost!!Nzuriii!!
Basi labda nilipitiwa tu kwani sikuiona hiyo. Thanks sana kwa kujituma dada yangu, Mungu akuzidishie.
Mwenyezi Mungu kakujalia kipaji,,, asante kwa kutugawia...
Hahahahaha kunizidi sio tatizo muhimu kuwa imekuja vizuri....
Kumbe dada yangu hauna hasira kihivyo? Mi nilifikiti utakasirika na kunivunjia computer yangu:A S 39:
Mahitaji
1)sukari (granulated sugar) 1cup
2) mayai 4
3)maziwa kikombe 1
4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1
5)unga wa ngano 2 cups
6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla
7)dark cocoa powder 2 tablespoon
8)baking powder 1 tablespoon.
Namna ya kutaarisha
1)changanya sukari na mayai..tumia electric hand mixer au whisk beat kuchanganyia..hadi mchanganyiko uwe laini
2)weka maziwa na mafuta na endelea kuchanganya hadi vichanganyike vizuri
3)katika bakuli jengine changanya baking powder,vanilla powder na unga pamoja
4)weka huo unga kwenye mchanganyiko wako wa mayai na sukari...changanya
5)gawa mchanganyiko sehemu 2 sawa
6)sehemu moja iweke pembeni na nyengine weka cocoa yako na uichanganye vizuri..
7)mimina kwenye trey viwiko 3 vya mchanganyiko plain then weka vijiko 3 vya mchanganyiko wa cocoa...fanya hivo hadi imalizike...(usisubirie mchanganyiko usambae).
8)weka moto 300-350° hadi iwive vizuri
Zebra cake tayari kwa kuliwa...

Aisee hapa umenimaliza kabisa
Ubunifu mzuri sana
Santee
Asante sana hakika hii imetulia mno.